The Bible Software
bible.softwareMatthewMatthew 23 › Matthew 23:22

Matthew 23:22

Naye aapaye kwa mbingu, huapa kwa kiti cha enzi cha Mungu na kwa yeye aketiye juu ya kiti hicho.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And he that shall swear by heaven, sweareth by the throne of God, and by him that sitteth thereon.

In Context

21Naye mtu aapaye kwa Hekalu, huapa kwa hilo Hekalu na kwa huyo akaaye ndani yake.

23“Ole wenu walimu wa sheria na Mafarisayo, ninyi wanafiki! Kwa maana mnatoa zaka ya mnanaa, bizari na jira, lakini mmeacha mambo makuu zaidi ya sheria, yaani haki, huruma na uaminifu. Iliwapasa kufanya haya makuu ya sheria bila kupuuza hayo matoleo.

Read all of Matthew 23

Cross References

Isaiah 66:1Hili ndilo asemalo Bwana, 1 “Mbingu ni kiti changu cha enzi, 2 nayo dunia ni mahali pa kuweka miguu yangu. 1 Iko wapi nyumba mtakayoijenga kwa ajili yangu? 2 Mahali pangu pa kupumzikia patakuwa wapi? 1

Acts 7:49“ ‘Mbingu ni kiti changu cha enzi, 2 nayo dunia ni mahali pa kuweka miguu yangu. 1 Mtanijengea nyumba ya namna gani? 4 asema Bwana. 2 Au mahali pangu pa kupumzikia patakuwa wapi? 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Matthew 23:22

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Matthew 23:21Matthew 23Matthew 23:23 →