Acts 7:53
Ninyi ndio mlipokea sheria zilizoletwa kwenu na malaika, lakini hamkuzitii.” 1 Stefano Apigwa Mawe
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Who have received the law by the disposition of angels, and have not kept it .
In Context
54Waliposikia haya wakaghadhibika, wakamsagia meno.
Cross References
Exodus 19:1Mnamo mwezi wa tatu baada ya Waisraeli kuondoka Misri, siku kama iyo hiyo, wakafika katika Jangwa la Sinai.
Psalms 68:17Magari ya Mungu ni makumi ya maelfu, 2 na maelfu ya maelfu; 1 Bwana amekuja kutoka Sinai 2 hadi katika patakatifu pake. 1
John 7:19Je, Mose hakuwapa ninyi sheria? Lakini hakuna hata mmoja wenu anayeishika hiyo sheria. Kwa nini mnataka kuniua?”
Romans 2:23Wewe ujivuniaye sheria, wamwaibisha Mungu kwa kuvunja sheria?
Galatians 6:13Hata wale waliotahiriwa wenyewe hawaitii sheria, lakini wanataka ninyi mtahiriwe ili wapate kujivuna kwa habari ya miili yenu.