John 7:19
Je, Mose hakuwapa ninyi sheria? Lakini hakuna hata mmoja wenu anayeishika hiyo sheria. Kwa nini mnataka kuniua?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Did not Moses give you the law, and yet none of you keepeth the law? Why go ye about to kill me?
In Context
20Ule umati wa watu ukamjibu, “Wewe una pepo mchafu! Ni nani anayetaka kukuua?”
Cross References
Exodus 24:2lakini Mose peke yake ndiye atakayemkaribia Bwana; wengine wasije karibu. Nao watu wasije wakapanda pamoja naye.”
Deuteronomy 33:4sheria ile Mose aliyotupa sisi, 2 tulio milki ya kusanyiko la Yakobo. 1
Matthew 12:14Lakini Mafarisayo wakatoka nje, wakafanya shauri baya juu ya Yesu jinsi watakavyoweza kumuua. 1 Mtumishi Aliyechaguliwa Na Mungu
Matthew 23:2“Walimu wa sheria na Mafarisayo wameketi katika kiti cha Mose,
Mark 3:6Kisha Mafarisayo wakatoka nje, nao wakaanza kufanya shauri la kumuua Yesu wakiwa na Maherode. 1 Umati Wa Watu Wamfuata Yesu
John 5:16Kwa hiyo Wayahudi wakaanza kumsumbua Yesu, kwa sababu alikuwa anafanya mambo kama hayo siku ya Sabato.