Acts 7:59
Walipokuwa wakimpiga mawe, Stefano aliomba, “Bwana Yesu, pokea roho yangu.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And they stoned Stephen, calling upon God, and saying, Lord Jesus, receive my spirit.
In Context
Cross References
Psalms 31:5Ninaikabidhi roho yangu mikononi mwako, 2 unikomboe Ee Bwana, uliye Mungu wa kweli. 1
Luke 23:46Yesu akapaza sauti yake akasema, “Baba, mikononi mwako naikabidhi roho yangu.” Baada ya kusema haya, akakata roho.
Acts 9:14Naye amekuja hapa Dameski akiwa na mamlaka kutoka kwa viongozi wa makuhani ili awakamate wote wanaotaja jina lako.”
Acts 22:16Sasa basi, mbona unakawia? Inuka, ukabatizwe na dhambi zako zikasafishwe, ukiliita Jina lake.’ 1 Paulo Atumwa Kwa Watu Wa Mataifa
1 Corinthians 1:2Kwa kanisa la Mungu lililoko Korintho, kwa wale waliotakaswa katika Kristo Yesu na walioitwa kuwa watakatifu, pamoja na wale wote ambao kila mahali wanaliitia Jina la Kristo Yesu Bwana wetu, aliye Bwana wao na wetu pia: