Acts 7:60
Kisha akapiga magoti, akalia kwa sauti kubwa akasema, “Bwana usiwahesabie dhambi hii.” Baada ya kusema hayo, akalala.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
59Walipokuwa wakimpiga mawe, Stefano aliomba, “Bwana Yesu, pokea roho yangu.”
Cross References
Daniel 6:10Basi Danieli alipofahamu kuwa amri ile imetangazwa, alikwenda nyumbani kwenye chumba chake cha ghorofani ambako madirisha yalifunguka kuelekea Yerusalemu. Akapiga magoti na kuomba mara tatu kwa siku, akimshukuru Mungu wake kama alivyokuwa akifanya mwanzoni.
Matthew 27:52Makaburi yakafunguka na miili ya watakatifu waliokuwa wamekufa ikafufuliwa.
Luke 22:41Akajitenga nao kama umbali wa kutupa jiwe, akapiga magoti, akaomba
Acts 9:40Petro akawatoa wote nje ya kile chumba, kisha akapiga magoti akaomba, akaugeukia ule mwili akasema, “Tabitha, inuka.” Akafumbua macho yake na alipomwona Petro, akaketi.
Acts 20:36Paulo alipomaliza kusema haya akapiga magoti pamoja nao wote akaomba.
Romans 12:14Wabarikini wale wanaowatesa, barikini wala msilaani.