Acts 8:17
Ndipo Petro na Yohana wakaweka mikono yao juu ya wale waliobatizwa, nao wakapokea Roho Mtakatifu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then laid they their hands on them, and they received the Holy Ghost.
In Context
Cross References
Numbers 8:10Utawaleta Walawi mbele za Bwana, na Waisraeli wataweka mikono yao juu ya Walawi.
Acts 2:4Wote wakajazwa na Roho Mtakatifu, wakaanza kunena kwa lugha nyingine, kama Roho alivyowajalia.
Acts 8:18Simoni alipoona kuwa watu wanapokea Roho Mtakatifu mitume walipoweka mikono juu yao, akataka kuwapa fedha
Acts 13:3Ndipo baada ya kufunga na kuomba, wakawawekea mikono yao na wakawatuma waende zao. 1 Barnaba Na Sauli Waenda Kipro
Romans 1:11Ninatamani sana kuwaona ili nipate kuweka juu yenu karama za rohoni ili mwe imara,
1 Timothy 4:14Usiache kutumia kipawa kilicho ndani yako, ambacho ulipewa kwa neno la unabii wakati wazee walikuwekea mikono.