Romans 1:11
Ninatamani sana kuwaona ili nipate kuweka juu yenu karama za rohoni ili mwe imara,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
12au zaidi, ninyi pamoja nami tuweze kutiana moyo katika imani sisi kwa sisi.
Cross References
2 Samuel 13:39Roho ya Mfalme Daudi ikatamani kumwendea Absalomu, kwa maana mfalme alikuwa amefarijika kuhusu kifo cha Amnoni.
2 Chronicles 20:20Asubuhi na mapema wakaondoka kuelekea Jangwa la Tekoa. Walipoanza safari, Yehoshafati akasimama akasema, “Nisikilizeni, enyi Yuda, na watu wa Yerusalemu! Mwaminini Bwana Mungu wenu, hivyo mtathibitika, wasadikini manabii wake nanyi mtafanikiwa.
Acts 16:5Hivyo makanisa yakawa imara katika imani na kuongezeka kiidadi kila siku.
Acts 19:21Baada ya mambo haya kutukia, Paulo akakusudia rohoni kwenda Yerusalemu kupitia Makedonia na Akaya. Akasema, “Baada ya kufika huko, yanipasa pia kwenda Rumi.”
Romans 15:29Ninajua kwamba nitakapokuja kwenu, nitakuja na wingi wa baraka za Kristo.
Romans 16:25Sasa atukuzwe yeye awezaye kuwafanya ninyi imara kwa Injili yangu na kuhubiriwa kwa Yesu Kristo, kutokana na kufunuliwa siri zilizofichika tangu zamani za kale.