The Bible Software
bible.softwareActsActs 8 › Acts 8:32

Acts 8:32

Huyu towashi alikuwa anasoma fungu hili la Maandiko: 1 “Aliongozwa kama kondoo aendaye machinjoni, 2 kama mwana-kondoo anyamazavyo 1 mbele yake yule amkataye manyoya, 2 hivyo hakufungua kinywa chake. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The place of the scripture which he read was this, He was led as a sheep to the slaughter; and like a lamb dumb before his shearer, so opened he not his mouth:

In Context

31Yule towashi akasema, “Nitawezaje kuelewa mtu asiponifafanulia?” Hivyo akamkaribisha Filipo ili apande na kuketi pamoja naye.

33Katika kufedheheshwa kwake alinyimwa haki yake. 2 Nani awezaye kueleza juu ya kizazi chake? 1 Kwa maana maisha yake yaliondolewa 2 kutoka duniani.”

Read all of Acts 8

Cross References

Psalms 39:2Lakini niliponyamaza kimya na kutulia, 2 hata pasipo kusema lolote jema, 2 uchungu wangu uliongezeka. 1

Psalms 44:11Umetuacha tutafunwe kama kondoo 2 na umetutawanya katika mataifa. 1

Jeremiah 11:19Nilikuwa kama mwana-kondoo mpole aliyeongozwa machinjoni; mimi sikutambua kwamba walikuwa wamefanya shauri baya dhidi yangu, wakisema, 1 “Sisi na tuuangamize mti na matunda yake; 2 nasi tumkatilie mbali kutoka nchi ya walio hai, 2 ili jina lake lisikumbukwe tena.” 1

Jeremiah 51:40“Nitawateremsha kama wana-kondoo waendao machinjoni, 2 kama kondoo dume na mbuzi. 1

Luke 23:34Yesu akasema, “Baba, wasamehe, kwa maana hawajui walitendalo!” Wakagawana nguo zake kwa kupiga kura.

John 18:9Hii ilikuwa ili litimie lile neno alilosema, “Sikumpoteza hata mmoja miongoni mwa wale ulionipa.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Acts 8:32

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Acts 8:31Acts 8Acts 8:33 →