Acts 8:33
Katika kufedheheshwa kwake alinyimwa haki yake. 2 Nani awezaye kueleza juu ya kizazi chake? 1 Kwa maana maisha yake yaliondolewa 2 kutoka duniani.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Job 27:2“Hakika kama Mungu aishivyo, aliyeninyima haki yangu, 2 Mwenyezi ambaye amenifanya 2 nionje uchungu wa nafsi, 1
Psalms 22:15Nguvu zangu zimekauka kama kigae, 2 ulimi wangu umegandamana 2 na kaakaa la kinywa changu, 1 kwa sababu umenilaza 2 katika mavumbi ya kifo. 1
Isaiah 5:23wale wanaoachilia wenye hatia kwa kupokea hongo, 2 lakini huwanyima haki wasio na hatia. 1
Isaiah 53:8Kwa kuonewa na kuhukumiwa aliondolewa. 2 Nani awezaye kueleza kuhusu kizazi chake? 1 Kwa maana alikatiliwa mbali na nchi ya walio hai, 2 alipigwa kwa ajili ya makosa ya watu wangu. 1
Isaiah 53:12Kwa hiyo nitamgawia sehemu miongoni mwa wakuu, 2 naye atagawana nyara pamoja na wenye nguvu, 1 kwa sababu aliyamimina maisha yake hadi mauti, 2 naye alihesabiwa pamoja na wakosaji. 1 Kwa kuwa alichukua dhambi za wengi, 2 na kuwaombea wakosaji.
Habakkuk 1:4Kwa hiyo sheria imepotoshwa, 2 nayo haki haipo kabisa. 1 Waovu wanawazunguka wenye haki, 2 kwa hiyo haki imepotoshwa. 1 Jibu La Bwana 1