Acts 9:16
Nami nitamwonyesha jinsi impasavyo kuteseka kwa ajili ya Jina langu.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For I will shew him how great things he must suffer for my name’s sake.
In Context
Cross References
Matthew 5:11“Heri ninyi watu watakapowashutumu, na kuwatesa na kunena dhidi yenu mabaya ya aina zote kwa uongo kwa ajili yangu.
Matthew 24:9“Ndipo mtasalitiwa, ili mteswe na kuuawa, nanyi mtachukiwa na mataifa yote kwa ajili yangu.
John 16:1“Nimewaambia mambo haya yote ili msije mkaiacha imani.
Acts 20:22“Nami sasa nimesukumwa na Roho, ninakwenda Yerusalemu wala sijui ni nini kitakachonipata huko.
Acts 21:11Alipotufikia akachukua mshipi wa Paulo akajifunga, akautumia kufunga mikono na miguu yake mwenyewe akasema, “Roho Mtakatifu anasema: ‘Hivi ndivyo Wayahudi wa Yerusalemu watakavyomfunga mwenye mshipi huu na kumkabidhi kwa watu wa Mataifa.’ ”
2 Corinthians 6:4Bali kama watumishi wa Mungu tuonyeshe kwa kila njia: katika saburi nyingi; katika dhiki, katika misiba, na katika shida;