The Bible Software
bible.softwareActsActs 9 › Acts 9:35

Acts 9:35

Watu wote wa Lida na Sharoni walipomwona Ainea akitembea wakamgeukia Bwana. 1 Petro Amfufua Dorkasi

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And all that dwelt at Lydda and Saron saw him, and turned to the Lord.

In Context

34Petro akamwambia, “Ainea, Yesu Kristo anakuponya, inuka utandike kitanda chako.” Mara Ainea akainuka.

36Huko Yafa palikuwa na mwanafunzi jina lake Tabitha (ambalo kwa Kiyunani ni Dorkasi + 9:36 Tabitha kwa Kiaramu na Dorkasi kwa Kiaramu yote yamaanisha Paa.). Huyu alikuwa mkarimu sana, akitenda mema na kuwasaidia maskini.

Read all of Acts 9

Cross References

Deuteronomy 4:30Wakati mnapokuwa katika dhiki, nayo mambo haya yote yamewatokea siku hizo, ndipo mtamrudia Bwana Mungu wenu na kumtii.

1 Chronicles 27:29Shitrai Msharoni alikuwa msimamizi wa makundi ya ngʼombe waliojilisha huko Sharoni. Shafati mwana wa Adlai alikuwa msimamizi wa yale makundi ya ngʼombe yaliyokuwa makondeni.

Psalms 110:3Askari wako watajitolea kwa hiari 2 katika siku yako ya vita. 1 Ukiwa umevikwa fahari takatifu, 2 kutoka tumbo la mapambazuko 2 utapokea umande wa ujana wako. + 110:3 Au: vijana wako watakujia kama umande. 1

Isaiah 33:9Ardhi inaomboleza + 33:9 Au: Ardhi inakauka. na kuchakaa, 2 Lebanoni imeaibika na kunyauka, 1 Sharoni ni kama Araba, 2 nayo Bashani na Karmeli 2 wanapukutisha majani yao. 1

Isaiah 65:10Sharoni itakuwa malisho 2 kwa ajili ya makundi ya kondoo, 1 na Bonde la Akori mahali pa kupumzikia 2 kwa makundi ya ngʼombe, 2 kwa ajili ya watu wangu wanaonitafuta. 1

Lamentations 3:40Tuzichunguze njia zetu na kuzijaribu, 2 na tumrudie Bwana Mungu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Acts 9:35

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Acts 9:34Acts 9Acts 9:36 →