Matendo 9:36
Huko Yafa palikuwa na mwanafunzi jina lake Tabitha (ambalo kwa Kiyunani ni Dorkasi + 9:36 Tabitha kwa Kiaramu na Dorkasi kwa Kiaramu yote yamaanisha Paa.). Huyu alikuwa mkarimu sana, akitenda mema na kuwasaidia maskini.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
35Watu wote wa Lida na Sharoni walipomwona Ainea akitembea wakamgeukia Bwana. 1 Petro Amfufua Dorkasi
37Wakati huo akaugua, akafa na wakiisha kuuosha mwili wake wakauweka katika chumba cha ghorofani.
Cross References
Joshua 19:46Me-Yarkoni na Rakoni, pamoja na eneo linalotazamana na Yafa.
Ezra 3:7Kisha watu wakawapa mafundi wa uashi na useremala fedha, wakawapa watu wa Sidoni na Tiro vyakula, vinywaji na mafuta ili waweze kuleta magogo ya mierezi kwa njia ya bahari kutoka Lebanoni hadi Yafa, kama alivyoagiza Koreshi mfalme wa Uajemi.
Song of Solomon 2:9Mpenzi wangu ni kama paa au ayala kijana. 2 Tazama! Anasimama nyuma ya ukuta wetu, 1 akitazama kupitia madirishani, 2 akichungulia kimiani. 1
Song of Solomon 8:14Njoo, mpenzi wangu, 2 uwe kama swala 1 au kama ayala kijana 2 juu ya milima iliyojaa vikolezo.
Matthew 25:17Yule aliyepewa talanta mbili akafanya vivyo hivyo, akapata nyingine mbili zaidi.
John 15:8Kwa hiyo Baba yangu hutukuzwa, kwa vile mzaavyo matunda mengi, nanyi mtakuwa wanafunzi wangu.