Acts 9:7
Watu waliokuwa wakisafiri pamoja na Sauli wakasimama bila kuwa na la kusema, kwa sababu walisikia sauti lakini hawakumwona aliyekuwa akizungumza.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the men which journeyed with him stood speechless, hearing a voice, but seeing no man.
In Context
6Sasa inuka uingie mjini, nawe utaambiwa yakupasayo kutenda.”
Cross References
Matthew 24:40Watu wawili watakuwa shambani, naye mmoja atatwaliwa na mwingine ataachwa.
Acts 22:9Basi wale watu waliokuwa pamoja nami waliiona ile nuru, lakini hawakuisikia sauti ya yule aliyekuwa akisema nami.