Mathayo 24:40
Watu wawili watakuwa shambani, naye mmoja atatwaliwa na mwingine ataachwa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then shall two be in the field; the one shall be taken, and the other left.
In Context
41Wanawake wawili watakuwa wanasaga pamoja, naye mmoja atatwaliwa na mwingine ataachwa.
Cross References
Luke 17:34Nawaambia, usiku huo watu wawili watakuwa wamelala kitanda kimoja; naye mmoja atatwaliwa na mwingine ataachwa.
1 Corinthians 4:7Kwa maana ni nani aliyewafanya kuwa tofauti na wengine? Ni nini mlicho nacho ambacho hamkupokea? Nanyi kama mlipokea, kwa nini mnajivuna kama vile hamkupokea?
2 Peter 2:7na kama alimwokoa Loti, mtu mwenye haki, ambaye alihuzunishwa na maisha machafu ya watu wapotovu