The Bible Software
bible.softwareAmosAmos 2 › Amos 2:11

Amos 2:11

Pia niliinua manabii kutoka miongoni mwa wana wenu 2 na Wanadhiri kutoka miongoni mwa vijana wenu. 1 Je, hii si kweli, enyi watu wa Israeli?” 4 asema Bwana. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And I raised up of your sons for prophets, and of your young men for Nazarites. Is it not even thus, O ye children of Israel? saith the LORD.

In Context

10“Niliwapandisha toka Misri, 2 na nikawaongoza miaka arobaini jangwani 2 niwape nchi ya Waamori. 1

12“Lakini mliwafanya Wanadhiri kunywa mvinyo 2 na kuwaamuru manabii wasitoe unabii. 1

Read all of Amos 2

Cross References

Numbers 6:2“Sema na Waisraeli na uwaambie: ‘Ikiwa mwanaume au mwanamke anataka kuweka nadhiri maalum, nadhiri ya kutengwa kwa ajili ya Bwana kama Mnadhiri,

Judges 13:4Lakini ujihadhari sana usinywe mvinyo wala kileo kingine chochote, wala usile kitu chochote kilicho najisi,

1 Samuel 3:20Nao Israeli wote kuanzia Dani hadi Beer-Sheba wakatambua kuwa Samweli amethibitishwa kuwa nabii wa Bwana.

1 Kings 17:1Basi Eliya, Mtishbi kutoka Tishbi katika Gileadi, akamwambia Ahabu, “Kama Bwana, Mungu wa Israeli, aishivyo, ambaye ninamtumikia, hapatakuwa na umande wala mvua katika miaka hii, isipokuwa kwa neno langu.”

1 Kings 19:16Pia mtie mafuta Yehu mwana wa Nimshi awe mfalme wa Israeli, na umtie Elisha mwana wa Shafati kutoka Abel-Mehola mafuta awe nabii badala yako.

1 Kings 20:35Kwa neno la Bwana, mmoja wa wana wa manabii akamwambia mwenzake, “Nipige kwa silaha yako,” lakini yule mtu akakataa.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Amos 2:11

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Amos 2:10Amos 2Amos 2:12 →