Amos 2:12
“Lakini mliwafanya Wanadhiri kunywa mvinyo 2 na kuwaamuru manabii wasitoe unabii. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But ye gave the Nazarites wine to drink; and commanded the prophets, saying, Prophesy not.
In Context
13“Sasa basi, nitawaponda 2 kama gari lipondavyo wakati limejazwa nafaka. 1
Cross References
Numbers 6:3ni lazima ajitenge na mvinyo na kinywaji kingine chochote chenye chachu, na kamwe asinywe siki itokanayo na mvinyo au itokanayo na kinywaji kingine chenye chachu. Kamwe asinywe maji ya zabibu wala kula zabibu mbichi au kavu.
Jeremiah 11:21“Kwa hiyo hili ndilo Bwana asemalo kuhusu watu wa Anathothi wale wanaotafuta uhai wako wakisema, ‘Usitoe unabii kwa jina la Bwana, la sivyo utakufa kwa mikono yetu’:
Amos 7:16Sasa basi, sikieni neno la Bwana. Ninyi mnasema, 1 “ ‘Usitabiri dhidi ya Israeli, 2 na uache kuhubiri dhidi ya nyumba ya Isaki.’