Amos 2:15
Mpiga upinde atakimbia, 2 askari wapiga mbio hawataweza kutoroka, 2 na mpanda farasi hataokoa maisha yake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
16Hata askari walio mashujaa sana 2 siku hiyo watakimbia uchi,” 4 asema Bwana.
Cross References
Psalms 33:16Hakuna mfalme aokokaye kwa ukubwa wa jeshi lake; 2 hakuna shujaa aokokaye kwa wingi wa nguvu zake. 1
Ezekiel 39:3Kisha nitaupiga upinde wako kutoka mkono wako wa kushoto na kuifanya mishale ianguke kutoka mkono wako wa kuume.