Amos 2:16
Hata askari walio mashujaa sana 2 siku hiyo watakimbia uchi,” 4 asema Bwana.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he that is courageous among the mighty shall flee away naked in that day, saith the LORD.
In Context
Cross References
Judges 4:17Sisera, hata hivyo, akakimbia kwa miguu mpaka kwenye hema la Yaeli, mkewe Heberi, Mkeni, kwa sababu palikuwa na uhusiano wa kirafiki kati ya Yabini mfalme wa Hazori na ukoo wa Heberi, Mkeni.
Jeremiah 48:41Miji itatekwa na ngome zake 2 zitatwaliwa. 1 Katika siku hiyo, mioyo ya mashujaa wa Moabu 2 itakuwa kama moyo wa mwanamke katika utungu wa kuzaa. 1