The Bible Software
bible.softwareAmosAmos 3 › Amos 3:2

Amos 3:2

“Ni ninyi tu niliowachagua 2 kati ya jamaa zote za dunia; 1 kwa hiyo nitawaadhibu 2 kwa ajili ya dhambi zenu zote.” 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

You only have I known of all the families of the earth: therefore I will punish you for all your iniquities.

In Context

1Sikilizeni neno hili alilosema Bwana dhidi yenu, enyi watu wa Israeli, dhidi ya jamaa nzima niliowapandisha toka Misri: 1

3Je, watu wawili hutembea pamoja 2 wasipokubaliana kufanya hivyo? 1

Read all of Amos 3

Cross References

Exodus 19:5Sasa kama mkinitii kikamilifu na kutunza Agano langu, basi ninyi mtakuwa mali yangu ya thamani kubwa miongoni mwa mataifa yote. Ijapokuwa dunia yote ni mali yangu,

Deuteronomy 7:6Kwa kuwa wewe ni taifa takatifu kwa Bwana Mungu wako. Bwana Mungu wako amekuchagua wewe kutoka mataifa yote juu ya uso wa dunia kuwa watu wake, hazina yake ya thamani.

Deuteronomy 26:18Naye Bwana ametangaza leo kwamba ninyi ni taifa lake, hazina yake ya thamani kama alivyoahidi, ili kwamba mpate kuyashika maagizo yake yote.

Psalms 147:19Amemfunulia Yakobo neno lake, 2 sheria zake na maagizo yake kwa Israeli. 1

Jeremiah 1:15Nitawaita watu wote wa falme za kaskazini,” asema Bwana. 1 “Wafalme wao watakuja na kuweka viti vyao vya enzi 2 katika maingilio ya malango ya Yerusalemu, 1 watakuja dhidi ya kuta zake zote zinazouzunguka, 2 na dhidi ya miji yote ya Yuda. 1

Jeremiah 10:25Umwage ghadhabu yako juu ya mataifa 2 wasiokujua wewe, 2 juu ya mataifa wasioliitia jina lako. 1 Kwa kuwa wamemwangamiza Yakobo; 2 wamemwangamiza kabisa 2 na kuiharibu nchi yake.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Amos 3:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Amos 3:1Amos 3Amos 3:3 →