Amos 3:1
Sikilizeni neno hili alilosema Bwana dhidi yenu, enyi watu wa Israeli, dhidi ya jamaa nzima niliowapandisha toka Misri: 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Chronicles 16:13enyi wazao wa Israeli mtumishi wake, 2 enyi wana wa Yakobo, wateule wake. 1
Isaiah 46:3“Nisikilizeni mimi, ee nyumba ya Yakobo, 2 ninyi nyote mliobaki wa nyumba ya Israeli, 1 ninyi ambao nimewategemeza tangu mlipotungwa mimba, 2 nami nimewabeba tangu kuzaliwa kwenu. 1
Jeremiah 8:3Popote nitakapowafukuzia, mabaki wote wa kizazi hiki kiovu watatamani kufa kuliko kuishi, asema Bwana Mwenye Nguvu Zote.’ 1 Dhambi Na Adhabu
Jeremiah 33:24“Je, hujasikia kwamba watu hawa wanasema, ‘ Bwana amezikataa zile falme mbili alizozichagua?’ Kwa hiyo wamewadharau watu wangu, na hawawaoni tena kama taifa.
Hosea 4:1Sikieni neno la Bwana, enyi Waisraeli, 2 kwa sababu Bwana analo shtaka 2 dhidi yenu ninyi mnaoishi katika nchi: 1 “Hakuna uaminifu, hakuna upendo, 2 hakuna kumjua Mungu katika nchi. 1
Amos 2:10“Niliwapandisha toka Misri, 2 na nikawaongoza miaka arobaini jangwani 2 niwape nchi ya Waamori. 1