The Bible Software
bible.softwareAmosAmos 3 › Amos 3:5

Amos 3:5

Je, ndege aweza kuanguka kwenye mtego ulio ardhini 2 ambapo hajategewa chambo? 1 Je, mtego unaweza kufyatuka toka ardhini 2 wakati ambapo hakuna chochote cha kunasa? 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Can a bird fall in a snare upon the earth, where no gin is for him? shall one take up a snare from the earth, and have taken nothing at all?

In Context

4Je, simba hunguruma katika kichaka 2 wakati hana mawindo? 1 Aweza kuvuma katika pango 2 wakati ambao hajakamata chochote? 1

6Je, tarumbeta inapopigwa mjini kujulisha hatari, 2 watu hawatetemeki? 1 Mji upatwapo na maafa, 2 je, si Bwana amesababisha? 1

Read all of Amos 3

Cross References

Jeremiah 31:28Kama vile nilivyowaangalia ili kungʼoa na kubomoa, kuharibu, kuangamiza na kuleta maafa juu yao, vivyo hivyo nitawaangalia ili kujenga na kupanda,” asema Bwana.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Amos 3:5

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Amos 3:4Amos 3Amos 3:6 →