The Bible Software
bible.softwareAmosAmos 3 › Amos 3:6

Amos 3:6

Je, tarumbeta inapopigwa mjini kujulisha hatari, 2 watu hawatetemeki? 1 Mji upatwapo na maafa, 2 je, si Bwana amesababisha? 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Shall a trumpet be blown in the city, and the people not be afraid? shall there be evil in a city, and the LORD hath not done it?

In Context

5Je, ndege aweza kuanguka kwenye mtego ulio ardhini 2 ambapo hajategewa chambo? 1 Je, mtego unaweza kufyatuka toka ardhini 2 wakati ambapo hakuna chochote cha kunasa? 1

7Hakika Bwana Mwenyezi hatafanya neno lolote 2 bila kuwafunulia watumishi wake manabii siri yake. 1

Read all of Amos 3

Cross References

Genesis 50:20Mlikusudia kunidhuru, lakini Mungu alikusudia mema, ili litimie hili linalofanyika sasa, kuokoa maisha ya watu wengi.

Isaiah 14:24Bwana Mwenye Nguvu Zote ameapa, 1 “Hakika, kama vile nilivyopanga, ndivyo itakavyokuwa, 2 nami kama nilivyokusudia, ndivyo itakavyosimama. 1

Jeremiah 4:5“Tangaza katika Yuda na upige mbiu katika Yerusalemu na kusema: 2 ‘Piga tarumbeta katika nchi yote!’ 1 Piga kelele na kusema: 2 ‘Kusanyikeni pamoja! 2 Tukimbilie katika miji yenye maboma!’ 1

Jeremiah 5:22Je, haiwapasi kuniogopa mimi?” asema Bwana. 2 “Je, haiwapasi kutetemeka mbele zangu? 1 Niliufanya mchanga kuwa mpaka wa bahari, 2 kizuizi cha milele ambacho haiwezi kupita. 1 Mawimbi yanaweza kuumuka, lakini hayawezi kuupita; 2 yanaweza kunguruma, lakini hayawezi kuuvuka. 1

Jeremiah 10:7Ni nani ambaye haimpasi kukuheshimu wewe, 2 Ee Mfalme wa mataifa? 2 Hii ni stahili yako. 1 Miongoni mwa watu wote wenye hekima 2 katika mataifa na katika falme zao zote, 2 hakuna aliye kama wewe. 1

Hosea 5:8“Pigeni tarumbeta huko Gibea, 2 baragumu huko Rama. 1 Paza kilio cha vita huko Beth-Aveni, + 5:8 Beth-Aveni maana yake Nyumba ya Ubatili (au Uovu), jina lingine la Betheli kwa dhihaka. 2 ongoza, ee Benyamini. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Amos 3:6

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Amos 3:5Amos 3Amos 3:7 →