Amos 3:7
Hakika Bwana Mwenyezi hatafanya neno lolote 2 bila kuwafunulia watumishi wake manabii siri yake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Surely the Lord GOD will do nothing, but he revealeth his secret unto his servants the prophets.
In Context
Cross References
Genesis 18:17Ndipo Bwana akasema, “Je, nimfiche Abrahamu jambo ninalokusudia kufanya?
1 Kings 22:19Mikaya akaendelea, “Kwa hiyo lisikie neno la Bwana: Nilimwona Bwana ameketi juu ya kiti chake cha enzi pamoja na jeshi lote la mbinguni likiwa limesimama kumzunguka upande wa kulia na wa kushoto.
2 Kings 6:12Mmoja wa maafisa wake akasema, “Mfalme bwana wangu, hakuna hata mmoja wetu. Lakini Elisha, yule nabii aliye Israeli, humwambia mfalme wa Israeli hata yale maneno unayozungumza katika chumba chako cha kulala.”
2 Kings 22:20Kwa hiyo nitakukusanya kwa baba zako, nawe utazikwa kwa amani. Macho yako hayataona maafa yote nitakayoleta juu ya mahali hapa.’ ” Basi wakapeleka jibu lake kwa mfalme.
Isaiah 18:4Hili ndilo Bwana aliloniambia: 2 “Nitatulia kimya na kutazama 2 kutoka maskani yangu, 1 kama joto linalometameta katika mwanga wa jua, 2 kama wingu la umande 2 katika joto la wakati wa mavuno.” 1
Daniel 9:22Akanielimisha na kuniambia, “Danieli, sasa nimekuja kukupa akili na ufahamu.