Amosi 5:27
Kwa sababu hiyo nitawapeleka uhamishoni mbali kupita Dameski,” 2 asema Bwana, ambaye jina lake ni Mungu Mwenye Nguvu Zote.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Kings 14:15Naye Bwana ataipiga Israeli, hata iwe kama unyasi unaosukwasukwa juu ya maji. Ataingʼoa Israeli kutoka nchi hii nzuri aliyowapa baba zao na kuwatawanya ngʼambo ya Mto Frati, kwa sababu wamemghadhibisha Bwana kwa kutengeneza nguzo za Ashera + 14:15 Yaani mfano wa mungu wa kike Ashera.
2 Kings 17:6Katika mwaka wa tisa wa Hoshea, mfalme wa Ashuru akaiteka Samaria na kuwahamishia Waisraeli huko Ashuru. Akawaweka huko Hala, na Gozani karibu na Mto Habori, na katika miji ya Wamedi. 1 Israeli Inakwenda Uhamishoni Kwa Sababu Ya Dhambi
Amos 4:13Yeye ambaye hufanya milima, anaumba upepo, 2 na kufunua mawazo yake kwa mwanadamu, 1 yeye ageuzaye asubuhi kuwa giza, 2 na kukanyaga mahali pa juu pa nchi: 2 Bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote ndilo jina lake.
Acts 7:43La, ninyi mliinua madhabahu ya Moleki, 2 na nyota ya mungu wenu Refani, 2 vinyago mlivyotengeneza ili kuviabudu. 1 Kwa hiyo nitawapeleka mbali’ kuliko Babeli.