The Bible Software
bible.softwareAmosAmos 4 › Amos 4:13

Amos 4:13

Yeye ambaye hufanya milima, anaumba upepo, 2 na kufunua mawazo yake kwa mwanadamu, 1 yeye ageuzaye asubuhi kuwa giza, 2 na kukanyaga mahali pa juu pa nchi: 2 Bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote ndilo jina lake.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For, lo, he that formeth the mountains, and createth the wind, and declareth unto man what is his thought, that maketh the morning darkness, and treadeth upon the high places of the earth, The LORD, The God of hosts, is his name.

In Context

12“Kwa hiyo hili ndilo nitakalowafanyia, Israeli, 2 na kwa sababu nitawafanyia hili, 2 jiandaeni kukutana na Mungu wenu, ee Israeli.” 1

Read all of Amos 4

Cross References

Exodus 10:22Kwa hiyo Mose akaunyoosha mkono wake kuelekea angani, na giza nene likafunika pote katika nchi ya Misri kwa muda wa siku tatu.

Deuteronomy 32:13Akamfanya apande sehemu zilizoinuka za nchi, 2 akamlisha kwa mavuno ya mashamba. 1 Akamlea kwa asali toka mwambani, 2 na kwa mafuta kutoka mwamba mgumu, 1

Job 9:7Husema na jua, nalo likaacha kuangaza; 2 naye huizima mianga ya nyota. 1

Psalms 65:6uliyeumba milima kwa uwezo wako, 2 ukiwa umejivika nguvu, 1

Psalms 139:2Unajua ninapoketi na ninapoinuka; 2 unatambua mawazo yangu tokea mbali. 1

Isaiah 5:30Katika siku ile watanguruma juu yake 2 kama ngurumo za bahari. 1 Kama mtu akiitazama nchi, 2 ataona giza na dhiki; 2 hata nuru itatiwa giza kwa mawingu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Amos 4:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Amos 4:12Amos 4