The Bible Software
bible.software › Amosi › Amosi 6 › Amosi 6:1

Amosi 6:1

Ole wenu ninyi mnaostarehe na kuridhika katika Sayuni, 2 na ninyi mnaojisikia salama juu ya Mlima Samaria, 1 ninyi watu mashuhuri wa taifa lililoendelea kuliko mataifa mengine, 2 ambao watu wa Israeli wanawategemea! 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Woe to them that are at ease in Zion, and trust in the mountain of Samaria, which are named chief of the nations, to whom the house of Israel came!

In Context

2Nendeni Kalne mkaone kutoka huko; 2 mwende hadi Hamathi iliyo kuu, 2 kisha mshuke hadi Gathi ya Wafilisti. 1 Je, wao ni bora kuliko falme zenu mbili? 2 Je, nchi yao ni kubwa kuliko yenu? 1

Read all of Amosi 6

Cross References

Judges 18:7Basi hao watu watano wakaondoka na kufika Laishi, mahali ambapo waliwakuta watu wanaishi salama, kama Wasidoni, kwa utulivu na bila mashaka. Nchi yao haikupungukiwa na kitu chochote, hivyo wakawa tajiri. Pia walikaa mbali sana na Wasidoni, wala hawakushughulika na mtu yeyote.

Proverbs 1:32Kwa kuwa ukaidi wa wajinga utawaua, 2 nako kuridhika kwa wajinga kutawaangamiza. 1

Isaiah 33:14Wenye dhambi katika Sayuni wametiwa hofu, 2 kutetemeka kumewakumba wasiomcha Mungu: 1 “Ni nani miongoni mwetu awezaye kuishi na moto ulao? 2 Ni nani miongoni mwetu awezaye kuishi na moto unaowaka milele?” 1

Jeremiah 5:5Kwa hiyo nitakwenda kwa viongozi 2 na kuzungumza nao, 1 hakika wao wanaijua njia ya Bwana, 2 sheria ya Mungu wao.” 1 Lakini kwa nia moja nao pia walikuwa wameivunja nira 2 na kuvivunja vifungo. 1

Jeremiah 48:11“Moabu amestarehe tangu ujana wake, 2 kama divai iliyoachwa kwenye machujo yake, 1 haikumiminwa kutoka chombo kimoja hadi kingine, 2 hajaenda uhamishoni. 1 Kwa hiyo ana ladha ile ile kama aliyokuwa nayo, 2 nayo harufu yake haijabadilika. 1

Lamentations 1:1Tazama jinsi mji ulivyoachwa ukiwa, 2 mji ambao zamani ulikuwa umejaa watu! 1 Jinsi ambavyo umekuwa kama mama mjane, 2 ambaye wakati fulani alikuwa maarufu miongoni mwa mataifa! 1 Yule ambaye alikuwa malkia miongoni mwa majimbo 2 sasa amekuwa mtumwa. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Amosi 6:1

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
Amosi 6Amosi 6:2 →