Amos 6:2
Nendeni Kalne mkaone kutoka huko; 2 mwende hadi Hamathi iliyo kuu, 2 kisha mshuke hadi Gathi ya Wafilisti. 1 Je, wao ni bora kuliko falme zenu mbili? 2 Je, nchi yao ni kubwa kuliko yenu? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
3Mnaiweka mbali siku iliyo mbaya 2 na kuleta karibu utawala wa kuogofya. 1
Cross References
1 Samuel 5:8Basi wakawaita watawala wote wa Wafilisti pamoja na kuwauliza, “Tutafanya nini na hili Sanduku la Mungu wa Israeli?” Wakajibu, “Sanduku la Mungu wa Israeli na liende Gathi.” Basi wakalihamisha Sanduku la Mungu wa Israeli.
1 Samuel 17:4Shujaa aliyeitwa Goliathi, aliyetoka Gathi, akajitokeza kutoka kambi ya Wafilisti. Alikuwa na urefu dhiraa sita na shibiri moja. + 17:4 Dhiraa sita na shibiri moja ni sawa na mita 3, au futi 9 na inchi 8.
2 Samuel 8:9Tou, mfalme wa Hamathi, aliposikia kwamba Daudi amelishinda jeshi lote la Hadadezeri,
2 Kings 17:24Mfalme wa Ashuru akawaleta watu kutoka Babeli, Kutha, Ava, Hamathi na Sefarvaimu na kuwaweka katika miji ya Samaria badala ya Waisraeli. Wakaimiliki Samaria na kuishi katika miji yake.
2 Kings 18:34Iko wapi miungu ya Hamathi na ya Arpadi? Iko wapi miungu ya Sefarvaimu, Hena na Iva? Je, imeokoa Samaria kutoka mkononi mwangu?
2 Chronicles 26:6Alipigana vita dhidi ya Wafilisti na kubomoa kuta za Gathi, Yabne na Ashdodi. Kisha akajenga upya miji karibu na Ashdodi na mahali pengine katikati ya Wafilisti.