The Bible Software
bible.softwareAmosAmos 7 › Amos 7:2

Amos 7:2

Wakati nzige walikuwa wamekula mimea yote ya nchi, nililia kwa sauti kuu, “ Bwana Mwenyezi, samehe! Je, Yakobo atawezaje kuendelea kuishi? Yeye ni mdogo sana!”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And it came to pass, that when they had made an end of eating the grass of the land, then I said, O Lord GOD, forgive, I beseech thee: by whom shall Jacob arise? for he is small.

In Context

1Hili ndilo alilonionyesha Bwana Mwenyezi katika maono: Alikuwa anaandaa makundi ya nzige baada ya kuvunwa fungu la mfalme na wakati ule tu mimea ya pili ilipokuwa ikichipua.

3Kwa hiyo Bwana akaghairi. Kisha Bwana akasema, “Hili halitatokea.” 1 Maono Ya Pili: Moto

Read all of Amos 7

Cross References

Exodus 10:15Wakafunika ardhi yote mpaka ardhi ikawa nyeusi. Wakatafuna kile chote kilichokuwa kimebakizwa na ile mvua ya mawe, kila kitu kiotacho mashambani pamoja na matunda kwenye miti. Hakuna kitu chochote cha kijani kilichosalia katika miti au mmea katika nchi yote ya Misri.

Exodus 34:9Mose akasema, “Ee Bwana, kama nimepata kibali mbele zako, basi Bwana uende pamoja nasi. Ingawa watu hawa ni wenye shingo ngumu, samehe uovu wetu na dhambi yetu, tuchukue kuwa urithi wako.” 1 Kufanya Agano Upya (Kutoka 23:14-19; Kumbukumbu 7:1-5; 16:1-17)

Numbers 14:19Kwa kadiri ya upendo wako mkuu, usamehe dhambi ya watu hawa, kama vile ulivyowasamehe tangu wakati walitoka Misri mpaka sasa.”

Psalms 44:24Kwa nini unauficha uso wako 2 na kusahau taabu na mateso yetu? 1

Isaiah 51:19Majanga haya mawili yamekuja juu yako: 2 ni nani awezaye kukufariji? 1 Maangamizi, uharibifu, njaa na upanga: 2 ni nani awezaye kukutuliza? 1

Jeremiah 14:20Ee Bwana, tunatambua uovu wetu 2 na kosa la baba zetu; 2 kweli tumetenda dhambi dhidi yako. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Amos 7:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Amos 7:1Amos 7Amos 7:3 →