The Bible Software
bible.softwareAmosAmos 7 › Amos 7:3

Amos 7:3

Kwa hiyo Bwana akaghairi. Kisha Bwana akasema, “Hili halitatokea.” 1 Maono Ya Pili: Moto

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The LORD repented for this: It shall not be, saith the LORD.

In Context

2Wakati nzige walikuwa wamekula mimea yote ya nchi, nililia kwa sauti kuu, “ Bwana Mwenyezi, samehe! Je, Yakobo atawezaje kuendelea kuishi? Yeye ni mdogo sana!”

4Hili ndilo Bwana Mwenyezi alilonionyesha katika maono: Bwana Mwenyezi alikuwa akiita hukumu ya moto; nao ulikausha vilindi vikuu, ukateketeza nchi.

Read all of Amos 7

Cross References

Deuteronomy 32:36Bwana atawahukumu watu wake, 2 na kuwahurumia watumishi wake 1 atakapoona nguvu zao zimekwisha 2 wala hakuna yeyote aliyebaki, 2 mtumwa au aliye huru. 1

Psalms 78:38Hata hivyo alikuwa na huruma, 2 alisamehe maovu yao 2 na hakuwaangamiza. 1 Mara kwa mara alizuia hasira yake, 2 wala hakuchochea ghadhabu yake yote. 1

Jeremiah 26:19Je, Hezekia mfalme wa Yuda au mtu mwingine yeyote katika Yuda alimhukumu Mika kufa? Je, Hezekia hakumcha Bwana na kuhitaji msaada wake? Je, Bwana hakuwahurumia na akaacha kuleta maafa aliyokuwa ametamka dhidi yao? Tunakaribia sana kujiletea maangamizo ya kutisha sisi wenyewe!”

Hosea 11:8“Efraimu, ninawezaje kukuacha? 2 Ee Israeli, ninawezaje kukutoa? 1 Nitawezaje kukutendea kama Adma? 2 Nitawezaje kukufanya kama Seboimu? 1 Moyo wangu umegeuka ndani yangu, 2 huruma zangu zote zimeamshwa. 1

Amos 7:6Kwa hiyo Bwana akaghairi. Bwana Mwenyezi akasema, “Hili nalo halitatokea.” 1 Maono Ya Tatu: Timazi

James 5:16Kwa hiyo ungamianeni dhambi zenu ninyi kwa ninyi na kuombeana ili mpate kuponywa. Maombi ya mwenye haki yana nguvu tena yanafaa sana.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Amos 7:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Amos 7:2Amos 7Amos 7:4 →