Amos 7:9
“Mahali pa Isaki pa juu pa kuabudia miungu pataangamizwa, 2 na mahali patakatifu pa Israeli pa kuabudia pataharibiwa; 1 kwa upanga wangu nitainuka 2 dhidi ya nyumba ya Yeroboamu.” 1 Amosi Na Amazia
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 26:23Kutoka pale akaenda Beer-Sheba.
Leviticus 26:30Nitapaharibu mahali penu pa juu pa kuabudia miungu, nibomoe madhabahu zenu za kufukizia uvumba, na kuzilundika maiti zenu juu ya sanamu zenu zisizo na uhai, nami nitawachukia ninyi sana.
2 Kings 15:8Katika mwaka wa thelathini na nane wa utawala wa Azaria mfalme wa Yuda, Zekaria mwana wa Yeroboamu akawa mfalme wa Israeli katika Samaria, naye akatawala miezi sita.
Isaiah 63:18Kwa maana kwa muda mfupi watu wako walimiliki mahali pako patakatifu, 2 lakini sasa adui zetu wamepakanyaga mahali patakatifu pako. 1
Hosea 10:8Mahali pa kuabudia sanamu pa uovu + 10:8 Yaani Aveni kwa Kiebrania, kumaanisha Beth-Aveni , jina lingine la Betheli kwa dhihaka. pataharibiwa: 2 ndiyo dhambi ya Israeli. 1 Miiba na mibaruti itaota 2 na kufunika madhabahu zao. 1 Kisha wataiambia milima, “Tufunikeni!” 2 na vilima, “Tuangukieni!” 1
Amos 5:5msitafute Betheli, 1 msiende Gilgali, 2 msisafiri kwenda Beer-Sheba. 1 Kwa maana kwa hakika Gilgali itakwenda uhamishoni, 2 na Betheli itafanywa kuwa si kitu.” + 5:5 Yaani Aveni kwa Kiebrania, kumaanisha Beth-Aveni, jina lingine la Betheli kwa dhihaka. 1