The Bible Software
bible.softwareHoseaHosea 10 › Hosea 10:8

Hosea 10:8

Mahali pa kuabudia sanamu pa uovu + 10:8 Yaani Aveni kwa Kiebrania, kumaanisha Beth-Aveni , jina lingine la Betheli kwa dhihaka. pataharibiwa: 2 ndiyo dhambi ya Israeli. 1 Miiba na mibaruti itaota 2 na kufunika madhabahu zao. 1 Kisha wataiambia milima, “Tufunikeni!” 2 na vilima, “Tuangukieni!” 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The high places also of Aven, the sin of Israel, shall be destroyed: the thorn and the thistle shall come up on their altars; and they shall say to the mountains, Cover us; and to the hills, Fall on us.

In Context

7Samaria na mfalme wake wataelea 2 kama kijiti juu ya uso wa maji. 1

9“Tangu siku za Gibea, mmetenda dhambi, ee Israeli, 2 huko ndiko mlikobaki. 1 Je, vita havikuwapata 2 watenda mabaya huko Gibea? 1

Read all of Hosea 10

Cross References

Deuteronomy 9:21Kisha nikachukua ile sanamu ya ndama mliyoitengeneza na kuichoma kwenye moto. Nikaiponda na kuisaga ikawa unga laini kama vumbi, nikatupa lile vumbi kwenye kijito kilichotiririka toka mlimani.

1 Kings 12:30Nalo jambo hili likawa dhambi, watu wakawa wanaenda hadi Dani kumwabudu huyo aliyewekwa huko.

1 Kings 13:34Hii ilikuwa ndiyo dhambi ya nyumba ya Yeroboamu ambayo iliisababishia kuanguka na kuangamia kwake hadi kutoweka kwenye uso wa dunia.

2 Kings 23:15Hata madhabahu yaliyokuwa huko Betheli, mahali pa juu pa kuabudia miungu palipokuwa pamejengwa na Yeroboamu mwana wa Nebati, ambaye aliwafanya Israeli watende dhambi, alibomoa hata hayo madhabahu na mahali pa juu pa kuabudia miungu. Alipateketeza kwa moto hapo mahali pa juu pa kuabudia miungu na kupasaga hadi pakawa vumbi, na kuichoma hiyo nguzo ya Ashera pia.

2 Chronicles 34:5Akachoma mifupa ya makuhani wao juu ya madhabahu zao na kwa njia hiyo akaitakasa Yuda na Yerusalemu.

Isaiah 2:21Watakimbilia kwenye mapango miambani 2 na kwenye nyufa za miamba 1 kutokana na utisho wa Bwana 2 na utukufu wa enzi yake, 2 ainukapo kuitikisa dunia. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Hosea 10:8

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Hosea 10:7Hosea 10Hosea 10:9 →