The Bible Software
bible.softwareAmosAmos 8 › Amos 8:11

Amos 8:11

“Siku zinakuja,” asema Bwana Mwenyezi, 2 “wakati nitakapotuma njaa katika nchi yote: 1 si njaa ya chakula wala kiu ya maji, 2 lakini njaa ya kusikia maneno ya Bwana. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Behold, the days come, saith the Lord GOD, that I will send a famine in the land, not a famine of bread, nor a thirst for water, but of hearing the words of the LORD:

In Context

10Nitageuza sikukuu zenu za kidini kuwa maombolezo, 2 na kuimba kwenu kote kuwe kilio. 1 Nitawafanya ninyi nyote mvae nguo ya gunia 2 na kunyoa nywele zenu. 1 Nitaufanya wakati ule uwe kama wa kuombolezea mwana wa pekee, 2 na mwisho wake kama siku ya uchungu. 1

12Wanaume watayumbayumba kutoka bahari hadi bahari 2 na kutangatanga kutoka kaskazini mpaka mashariki, 1 wakitafuta neno la Bwana, 2 lakini hawatalipata.

Read all of Amos 8

Cross References

1 Samuel 28:6Ndipo Sauli akauliza ushauri kwa Bwana, lakini Bwana hakumjibu kwa ndoto, wala kwa Urimu, + 28:6 Urimu na Thumimu maana yake ni Nuru na Kweli; vifaa hivi viliwekwa kwenye kifuko cha juu cha kisibau cha kuhani mkuu ili kujua mapenzi ya Mungu kwenye mambo ya kutatanisha. wala kwa njia ya manabii.

2 Chronicles 15:3Kwa muda mrefu Israeli walikuwa hawana Mungu wa kweli, walikuwa hawana kuhani wa kuwafundisha na wala hawakuwa na sheria.

Isaiah 5:6Nitalifanya nchi ya ukiwa isiyokaliwa na watu, 2 halitakatiwa matawi wala kulimwa, 1 nayo michongoma na miiba itamea huko, 2 nitaamuru mawingu yasinyeshe mvua juu yake.” 1

Ezekiel 7:26Maafa juu ya maafa yatakuja, tetesi ya mabaya juu ya tetesi ya mabaya. Watajitahidi kupata maono kutoka kwa nabii, mafundisho ya sheria toka kwa kuhani yatapotea, vivyo hivyo shauri kutoka kwa wazee.

Matthew 9:36Alipoona makutano, aliwahurumia kwa sababu walikuwa wanasumbuka bila msaada, kama kondoo wasiokuwa na mchungaji.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Amos 8:11

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Amos 8:10Amos 8Amos 8:12 →