The Bible Software
bible.software2 Nyakati2 Nyakati 15 › 2 Nyakati 15:3

2 Nyakati 15:3

Kwa muda mrefu Israeli walikuwa hawana Mungu wa kweli, walikuwa hawana kuhani wa kuwafundisha na wala hawakuwa na sheria.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Now for a long season Israel hath been without the true God, and without a teaching priest, and without law.

In Context

2Akatoka ili kumlaki Asa na kumwambia, “Nisikilizeni, Asa na Yuda wote na Benyamini. Bwana yu pamoja nanyi mkiwa pamoja naye. Kama mkimtafuta, ataonekana kwenu, lakini kama mkimwacha yeye, naye atawaacha ninyi.

4Lakini katika taabu yao walimrudia Bwana, Mungu wa Israeli na kumtafuta, naye akaonekana kwao.

Read all of 2 Nyakati 15

Cross References

Deuteronomy 33:10Humfundisha Yakobo mausia yako 2 na Israeli sheria yako. 1 Hufukiza uvumba mbele zako 2 na sadaka nzima za kuteketezwa 2 juu ya madhabahu yako. 1

2 Chronicles 17:7Katika mwaka wa tatu wa utawala wa akatuma maafisa wake ambao ni: Ben-Haili, Obadia, Zekaria, Nethaneli na Mikaya ili kufundisha katika miji ya Yuda.

Nehemiah 8:9Ndipo Nehemia aliyekuwa mtawala, + 8:9 Au Tirshatha : jina la heshima aliloitwa mtawala wa Yuda chini ya Ufalme wa Uajemi. Ezra kuhani na mwandishi, pamoja na Walawi waliokuwa wakiwafundisha watu wakawaambia wote, “Siku hii ni takatifu kwa Bwana Mungu wenu. Msiomboleze wala msilie.” Kwa kuwa watu wote walikuwa wakilia walipokuwa wakisikiliza maneno ya ile Sheria.

Lamentations 2:9Malango yake yamezama ardhini, 2 makomeo yake ameyavunja na kuyaharibu. 1 Mfalme wake na wakuu wake wamepelekwa uhamishoni 2 miongoni mwa mataifa, 2 sheria haipo tena, 1 na manabii wake hawapati tena 2 maono kutoka kwa Bwana. 1

Hosea 3:4Kwa maana Waisraeli wataishi siku nyingi bila kuwa na mfalme wala mkuu, bila kuwa na dhabihu wala mawe matakatifu, bila kisibau wala sanamu.

Malachi 2:7“Kwa maana yapasa midomo ya kuhani kuhifadhi maarifa. Tena kutoka kinywani mwake watu wangepaswa kutafuta mafundisho, kwa sababu yeye ni mjumbe wa Bwana Mwenye Nguvu Zote.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 2 Nyakati 15:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Nyakati 15:22 Nyakati 152 Nyakati 15:4 →