The Bible Software
bible.softwareAmosAmos 8 › Amos 8:7

Amos 8:7

Bwana ameapa kwake mwenyewe, aliye Kiburi cha Yakobo: “Kamwe sitasahau chochote ambacho wamefanya. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The LORD hath sworn by the excellency of Jacob, Surely I will never forget any of their works.

In Context

6mkiwanunua maskini kwa fedha, 2 na wahitaji kwa jozi ya viatu, 1 na mkiuza hata takataka za ngano 2 pamoja na ngano.

8“Je, nchi haitatetemeka kwa ajili ya hili, 2 nao wote waishio ndani mwake hawataomboleza? 1 Nchi yote itainuka kama Naili; 2 itapanda na kushuka kama mto wa Misri.

Read all of Amos 8

Cross References

Exodus 17:16Mose akasema, “Kwa maana mikono iliinuliwa mpaka kwenye kiti cha enzi cha Bwana. Bwana atakuwa na vita dhidi ya Waamaleki kutoka kizazi hata kizazi.”

1 Samuel 15:2Hili ndilo Bwana Mwenye Nguvu Zote asemalo: ‘Nitawaadhibu Waamaleki kwa kile walichowatendea Israeli walipowavizia wakati walipanda kutoka Misri.

Psalms 10:11Anajisemea mwenyewe, “Mungu amesahau, 2 huficha uso wake na haoni kabisa.” 1

Psalms 47:5Mungu amepaa kwa kelele za shangwe, 2 Bwana kwa sauti za tarumbeta. 1

Isaiah 22:14Bwana Mwenye Nguvu Zote amelifunua hili nikiwa ninasikia: Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote, asema: “Mpaka siku ya kufa kwenu, dhambi hii haitafanyiwa upatanisho.”

Jeremiah 17:1“Dhambi ya Yuda imechorwa kwa kalamu ya chuma, 2 imeandikwa kwa ncha ya almasi, 1 kwenye vibao vya mioyo yao 2 na kwenye pembe za madhabahu zao. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Amos 8:7

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Amos 8:6Amos 8Amos 8:8 →