Isaya 22:14
Bwana Mwenye Nguvu Zote amelifunua hili nikiwa ninasikia: Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote, asema: “Mpaka siku ya kufa kwenu, dhambi hii haitafanyiwa upatanisho.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Samuel 3:14Kwa hiyo, nikaapa kuhusu nyumba ya Eli, ‘Hatia ya nyumba ya Eli kamwe haitaweza kufidiwa kwa dhabihu au sadaka.’ ”
2 Samuel 6:23Naye Mikali binti Sauli hakuwa na watoto mpaka siku ya kufa kwake.
Isaiah 13:11Nitauadhibu ulimwengu kwa ajili ya uovu wake, 2 waovu kwa ajili ya dhambi zao. 1 Nitakomesha majivuno ya wenye kiburi, 2 na nitakishusha kiburi cha watu wakatili. 1
Isaiah 30:13dhambi hii itakuwa kwenu 2 kama ukuta mrefu, 2 wenye ufa na wenye kubetuka, 1 ambao unaanguka ghafula, 2 mara moja. 1
Amos 3:7Hakika Bwana Mwenyezi hatafanya neno lolote 2 bila kuwafunulia watumishi wake manabii siri yake. 1
John 8:21Yesu akawaambia tena, “Ninaenda zangu, nanyi mtanitafuta, lakini mtakufa katika dhambi zenu. Niendako mimi ninyi hamwezi kuja.”