The Bible Software
bible.softwareAmosAmos 9 › Amos 9:1

Amos 9:1

Nilimwona Bwana akiwa amesimama kando ya madhabahu, naye akasema: 1 “Piga vichwa vya nguzo 2 ili vizingiti vitikisike. 1 Viangushe juu ya vichwa vya watu wote; 2 na wale watakaosalia nitawaua kwa upanga. 1 Hakuna awaye yote atakayekimbia, 2 hakuna atakayetoroka. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

I saw the LORD standing upon the altar: and he said, Smite the lintel of the door, that the posts may shake: and cut them in the head, all of them; and I will slay the last of them with the sword: he that fleeth of them shall not flee away, and he that escapeth of them shall not be delivered.

In Context

2Wajapojichimbia chini mpaka kwenye vina vya kuzimu, 2 kutoka huko mkono wangu utawatoa. 1 Wajapopanda juu hadi kwenye mbingu, 2 kutoka huko nitawashusha. 1

Read all of Amos 9

Cross References

2 Chronicles 18:18Mikaya akaendelea, “Kwa hiyo lisikie neno la Bwana: Nilimwona Bwana ameketi juu ya kiti chake cha enzi pamoja na jeshi lote la mbinguni likiwa limesimama upande wa kulia na wa kushoto.

Isaiah 6:1Katika mwaka ule Mfalme Uzia alikufa, nilimwona Bwana ameketi katika kiti cha enzi, kilicho juu na kilichotukuzwa sana, nalo pindo la joho lake likajaza Hekalu.

Isaiah 6:4Kwa sauti zao, miimo ya milango na vizingiti vilitikisika, nalo Hekalu likajaa moshi.

Isaiah 30:16Mlisema, ‘Hapana, tutakimbia kwa farasi.’ 2 Kwa hiyo mtakimbia! 1 Mlisema, ‘Tutakimbia kwa farasi waendao kasi.’ 2 Kwa hiyo wanaowafukuza watakwenda kasi! 1

Ezekiel 1:28Kama vile kuonekana kwa upinde wa mvua mawinguni siku ya mvua, ndivyo ulivyokuwa ule mngʼao uliomzunguka. Hivi ndivyo ilivyokuwa kuonekana kwa utukufu wa Bwana. Nilipouona, nikaanguka kifudifudi, nikasikia sauti ya mtu anaongea.

Ezekiel 10:4Kisha utukufu wa Bwana ukainuka kutoka juu ya wale makerubi ukaenda kwenye kizingiti cha Hekalu. Wingu likajaza Hekalu, nao ukumbi ukajawa na mngʼao wa utukufu wa Bwana.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Amos 9:1

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
Amos 9Amos 9:2 →