Isaiah 30:16
Mlisema, ‘Hapana, tutakimbia kwa farasi.’ 2 Kwa hiyo mtakimbia! 1 Mlisema, ‘Tutakimbia kwa farasi waendao kasi.’ 2 Kwa hiyo wanaowafukuza watakwenda kasi! 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 28:49Bwana ataleta taifa dhidi yako kutoka mbali, kutoka miisho ya dunia, kama tai ashukiavyo mawindo chini, taifa ambalo hutaijua lugha yake,
Job 39:11Je, utamtumainia kwa ajili ya nguvu zake nyingi? 2 Utamwachia yeye kazi zako nzito? 1
Psalms 147:10Furaha yake haipo katika nguvu za farasi, 2 wala furaha yake kwenye miguu ya mwanadamu. 1
Isaiah 10:28Wanaingia Ayathi, 2 wanapita katikati ya Migroni, 2 wanahifadhi mahitaji huko Mikmashi. 1
Isaiah 31:3Lakini Wamisri ni wanadamu, wala si Mungu, 2 farasi wao ni nyama, wala si roho. 1 Wakati Bwana atakaponyoosha Mkono wake, 2 yeye anayesaidia atajikwaa, 2 naye anayesaidiwa ataanguka, 2 wote wawili wataangamia pamoja.
Jeremiah 52:7Kisha ukuta wa mji ukavunjwa na jeshi lote likakimbia. Wakaondoka mjini usiku kupitia lango lililokuwa kati ya kuta mbili karibu na bustani ya mfalme, ingawa Wakaldayo walikuwa wameuzunguka mji. Wakakimbia kuelekea Araba.