The Bible Software
bible.softwareAmosAmos 9 › Amos 9:3

Amos 9:3

Wajapojificha juu ya kilele cha Karmeli, 2 huko nitawawinda na kuwakamata. 1 Wajapojificha kutoka kwenye uso wangu 2 katika vilindi vya bahari, 2 huko nako nitaamuru joka kuwauma. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And though they hide themselves in the top of Carmel, I will search and take them out thence; and though they be hid from my sight in the bottom of the sea, thence will I command the serpent, and he shall bite them:

In Context

2Wajapojichimbia chini mpaka kwenye vina vya kuzimu, 2 kutoka huko mkono wangu utawatoa. 1 Wajapopanda juu hadi kwenye mbingu, 2 kutoka huko nitawashusha. 1

4Wajapopelekwa uhamishoni na adui zao, 2 huko nako nitaamuru upanga uwaue. 1 Nitawakazia macho yangu kwa mabaya 2 wala si kwa mazuri.” 1

Read all of Amos 9

Cross References

Job 22:13Hivyo wewe wasema, ‘Mungu anajua nini?’ 2 Je, yeye huhukumu katika giza kama hilo? 1

Psalms 68:23ili uweze kuchovya miguu yako katika damu ya adui zako, 2 huku ndimi za mbwa wako zikiwa na fungu lake.” 1

Psalms 139:10hata huko mkono wako utaniongoza, 2 mkono wako wa kuume utanishika kwa uthabiti. 1

Jeremiah 16:16“Lakini sasa nitawaagiza wavuvi wengi,” asema Bwana, “nao watawavua. Baada ya hilo, nitawaagizia wawindaji wengi, nao watawawinda kwenye kila mlima na kilima, na katika nyufa za miamba.

Jeremiah 23:24Je, mtu yeyote aweza kujificha 2 mahali pa siri ili nisiweze kumwona?” 4 Bwana asema. 2 “Je, mimi sikuijaza mbingu na nchi?” 4 Bwana asema.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Amos 9:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Amos 9:2Amos 9Amos 9:4 →