The Bible Software
bible.softwareAmosAmos 9 › Amos 9:4

Amos 9:4

Wajapopelekwa uhamishoni na adui zao, 2 huko nako nitaamuru upanga uwaue. 1 Nitawakazia macho yangu kwa mabaya 2 wala si kwa mazuri.” 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And though they go into captivity before their enemies, thence will I command the sword, and it shall slay them: and I will set mine eyes upon them for evil, and not for good.

In Context

3Wajapojificha juu ya kilele cha Karmeli, 2 huko nitawawinda na kuwakamata. 1 Wajapojificha kutoka kwenye uso wangu 2 katika vilindi vya bahari, 2 huko nako nitaamuru joka kuwauma. 1

5Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote, 2 yeye agusaye dunia nayo ikayeyuka, 2 na wote wakaao ndani mwake wakaomboleza: 1 nayo nchi yote huinuka kama Naili, 2 kisha hushuka kama mto wa Misri; 1

Read all of Amos 9

Cross References

Genesis 44:21“Ndipo ulipowaambia watumishi wako, ‘Mleteni kwangu ili niweze kumwona kwa macho yangu mwenyewe.’

Leviticus 17:10“ ‘Mwisraeli yeyote au mgeni anayeishi miongoni mwao ambaye atakunywa damu yoyote, nitakuwa kinyume cha mtu huyo atakayekunywa damu na kumkatilia mbali na watu wake.

Leviticus 26:36“ ‘Kwa habari ya wenzenu wale watakaobaki, nitaifanya mioyo yao kuwa na hofu kuu katika nchi za adui zao, kiasi kwamba sauti ya jani linalopeperushwa na upepo itawafanya wakimbie. Watakimbia kana kwamba wanakimbia upanga, nao wataanguka, ingawa hakuna anayewafukuza.

2 Chronicles 16:9Kwa kuwa macho ya Bwana hukimbiakimbia duniani kote ili kujionyesha mwenye nguvu kwa ajili ya wale ambao mioyo yao inamtegemea kwa ukamilifu. Umefanya jambo la upumbavu na kuanzia sasa na kuendelea utakuwa na vita.”

Psalms 34:17Wenye haki hulia, naye Bwana huwasikia, 2 huwaokoa katika taabu zao zote. 1

Jeremiah 24:6Macho yangu yatakuwa juu yao kwa ajili ya kuwapatia mema, nami nitawarudisha tena katika nchi hii. Nitawajenga wala sitawabomoa, nitawapanda wala sitawangʼoa,

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Amos 9:4

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Amos 9:3Amos 9Amos 9:5 →