Wakolosai 2:10
nanyi mmepewa ukamilifu ndani ya Kristo, ambaye ndiye mkuu juu ya kila enzi na kila mamlaka.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And ye are complete in him, which is the head of all principality and power:
In Context
9Maana ukamilifu wote wa Uungu umo ndani ya Kristo katika umbile la mwili wa kibinadamu,
Cross References
1 Corinthians 1:30Bali kwa yeye ninyi mmepata kuwa katika Kristo Yesu, aliyefanyika kwetu hekima itokayo kwa Mungu, yaani haki, na utakatifu na ukombozi.
Ephesians 1:20aliyoitumia katika Kristo alipomfufua kutoka kwa wafu, na akamketisha mkono wake wa kuume huko mbinguni,
Ephesians 4:15Badala yake, tukiambiana kweli kwa upendo, katika mambo yote tukue, hata tumfikie yeye aliye kichwa, yaani, Kristo.
Colossians 1:16Kwake yeye vitu vyote vilivyoko mbinguni na juu ya nchi viliumbwa: vitu vinavyoonekana na visivyoonekana, viwe ni viti vya enzi au falme, au wenye mamlaka au watawala; vitu vyote viliumbwa na yeye na kwa ajili yake.
Hebrews 5:9na akiisha kukamilishwa, akawa chanzo cha wokovu wa milele kwa wote wanaomtii.
Revelation 5:9Nao wakaimba wimbo mpya, wakisema: 1 “Wewe unastahili kukitwaa kitabu 2 na kuzivunja lakiri zake, 1 kwa sababu ulichinjwa 2 na kwa damu yako ukamnunulia Mungu watu 1 kutoka kila kabila, kila lugha, 2 kila jamaa na kila taifa. 1