The Bible Software
bible.software › Wakolosai › Wakolosai 3 › Wakolosai 3:6

Wakolosai 3:6

Kwa sababu ya mambo haya, ghadhabu ya Mungu inakuja.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For which things’ sake the wrath of God cometh on the children of disobedience:

In Context

5Kwa hiyo, ueni kabisa chochote kilicho ndani yenu cha asili ya kidunia: yaani uasherati, uchafu, tamaa mbaya, mawazo mabaya na ulafi, ambayo ndiyo ibada ya sanamu.

7Ninyi pia zamani mlienenda katika mambo haya mlipoishi maisha hayo.

Read all of Wakolosai 3

Cross References

Isaiah 57:4Mnamdhihaki nani? 2 Ni nani mnayemcheka kwa dharau, 2 na kumtolea ndimi zenu? 2 Je, ninyi si watoto wa waasi, 2 uzao wa waongo? 1

Romans 1:18Ghadhabu ya Mungu imedhihirishwa kutoka mbinguni dhidi ya uasi wote na uovu wa wanadamu ambao huipinga kweli kwa uovu wao,

Ephesians 5:6Mtu yeyote na asiwadanganye kwa maneno matupu, kwa kuwa hasira ya Mungu huwaka kwa sababu ya mambo kama haya juu ya wale wasiomtii.

2 Peter 2:14Wakiwa na macho yaliyojaa uzinzi, kamwe hawaachi kutenda dhambi. Huwashawishi wale wasio imara. Wao ni hodari kwa kutamani; ni wana wa laana!

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Wakolosai 3:6

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Wakolosai 3:5Wakolosai 3Wakolosai 3:7 →