The Bible Software
bible.software › Wakolosai › Wakolosai 4 › Wakolosai 4:1

Wakolosai 4:1

Ninyi mabwana, watendeeni watumwa wenu yaliyo haki na yanayostahili, mkitambua ya kwamba ninyi pia mnaye Bwana mbinguni. 1 Maagizo Zaidi

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Masters, give unto your servants that which is just and equal; knowing that ye also have a Master in heaven.

In Context

2Dumuni sana katika maombi, mkikesha katika hayo pamoja na kushukuru.

Read all of Wakolosai 4

Cross References

Leviticus 25:39“ ‘Ikiwa mmoja wa wazawa wa nchi yako amekuwa maskini katikati yako, naye akajiuza kwako, usimfanye atumike kama mtumwa.

Deuteronomy 15:13Nawe wakati utakapomwachia usimwache aende mikono mitupu.

Nehemiah 5:5Ingawa sisi ni mwili na damu moja sawa na watu wa nchi yetu, na ijapo wana wetu ni wazuri kama wana wao, bado inatupasa kuwatoa wana wetu na binti zetu kwenye utumwa. Baadhi ya binti zetu wameshakuwa watumwa tayari, lakini hatuna uwezo wa kuwakomboa, kwa sababu mashamba yetu na mashamba ya mizabibu yetu ni mali ya wengine.”

Job 31:13“Kama ningewanyima haki watumishi wangu wanaume au vijakazi wangu, 2 walipokuwa na manungʼuniko dhidi yangu, 1

Isaiah 58:3Wao husema, ‘Mbona tumefunga, nawe hujaona? 2 Mbona tumejinyenyekeza, nawe huangalii?’ 1 “Lakini katika siku ya kufunga kwenu, mnafanya mnavyotaka 2 na kuwadhulumu wafanyakazi wenu wote. 1

Jeremiah 34:9Kila mmoja alipaswa kuwaacha huru watumwa wake wa Kiebrania, wanawake na wanaume. Hakuna yeyote aliyeruhusiwa kumshikilia Myahudi mwenzake kama mtumwa.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Wakolosai 4:1

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
Wakolosai 4Wakolosai 4:2 →