The Bible Software
bible.softwareColossiansColossians 4 › Colossians 4:2

Colossians 4:2

Dumuni sana katika maombi, mkikesha katika hayo pamoja na kushukuru.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Continue in prayer, and watch in the same with thanksgiving;

In Context

1Ninyi mabwana, watendeeni watumwa wenu yaliyo haki na yanayostahili, mkitambua ya kwamba ninyi pia mnaye Bwana mbinguni. 1 Maagizo Zaidi

3Pia tuombeeni na sisi ili Mungu atufungulie mlango wa kunena, ili tupate kuitangaza siri ya Kristo, ambayo kwa ajili yake pia mimi nimefungwa.

Read all of Colossians 4

Cross References

1 Samuel 1:12Alipokuwa anaendelea kumwomba Bwana, Eli alichunguza kinywa chake.

Job 15:4Lakini unadhoofisha hata uchaji wa Mungu 2 na kuzuia ibada mbele za Mungu. 1

Psalms 55:16Lakini ninamwita Mungu, 2 naye Bwana huniokoa. 1

Matthew 26:41Kesheni na mwombe, msije mkaingia majaribuni. Roho iko radhi, lakini mwili ni mdhaifu.”

Luke 18:1Kisha Yesu akawapa wanafunzi wake mfano ili kuwaonyesha kuwa yawapasa kuomba pasipo kukata tamaa.

Romans 12:12Kuweni na furaha katika tumaini, katika dhiki kuweni na saburi, dumuni katika maombi.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Colossians 4:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Colossians 4:1Colossians 4Colossians 4:3 →