Wakolosai 4:6
Maneno yenu yawe yamejaa neema siku zote, yanayofaa, ili mjue jinsi iwapasavyo na inavyofaa kumjibu kila mtu. 1 Salamu Za Mwisho
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
5Enendeni kwa hekima mbele yao walio nje, mkiukomboa wakati.
Cross References
Deuteronomy 6:6Amri hizi ninazokupa leo zitakuwa katika moyo wako.
2 Kings 2:20Akasema, “Nileteeni bakuli mpya, mweke chumvi ndani yake.” Kwa hiyo wakamletea.
Psalms 37:30Kinywa cha mwenye haki hutamka hekima, 2 nao ulimi wake huzungumza lililo haki. 1
Psalms 45:2Wewe ni bora kuliko watu wengine wote 2 na midomo yako imepakwa neema, 2 kwa kuwa Mungu amekubariki milele. 1
Psalms 71:15Kinywa changu kitasimulia haki yako, 2 wokovu wako mchana kutwa, 2 ingawa sifahamu kipimo chake. 1
Psalms 78:3yale ambayo tuliyasikia na kuyajua, 2 yale ambayo baba zetu walituambia. 1