Wakolosai 4:5
Enendeni kwa hekima mbele yao walio nje, mkiukomboa wakati.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Walk in wisdom toward them that are without, redeeming the time.
In Context
4Ombeni ili nipate kuitangaza Injili kwa udhahiri kama ipasavyo kunena.
Cross References
Psalms 90:12Tufundishe kuzihesabu siku zetu vizuri, 2 ili tujipatie moyo wa hekima. 1
Matthew 10:16“Tazama, ninawatuma kama kondoo katikati ya mbwa mwitu. Kwa hiyo mwe werevu kama nyoka na wapole kama hua.
Romans 16:19Kila mtu amesikia juu ya utii wenu, nami nimejawa na furaha tele kwa ajili yenu. Lakini nataka mwe na hekima katika mambo mema na bila hatia katika mambo maovu.
1 Corinthians 14:19Lakini ndani ya kanisa ni afadhali niseme maneno matano ya kueleweka ili niwafundishe wengine kuliko kusema maneno 10,000 kwa lugha.
Colossians 3:16Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu, mkifundishana na kuonyana katika hekima yote, mkimwimbia Mungu zaburi, nyimbo na tenzi za rohoni, huku mkiwa na shukrani mioyoni mwenu.
1 Timothy 3:7Inampasa pia awe na sifa njema kwa watu walio nje, ili asije akalaumiwa na kuanguka kwenye mtego wa ibilisi. 1 Sifa Za Mashemasi