Daniel 1:8
Lakini Danieli alikusudia kuwa hatajitia unajisi kwa chakula cha mfalme na divai, naye akamwomba mkuu wa maafisa ruhusa ili asijinajisi kwa njia hii.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
9Basi Mungu alikuwa amemfanya huyo mkuu wa maafisa kuonyesha upendeleo na huruma kwa Danieli,
Cross References
Leviticus 11:45Mimi ndimi Bwana niliyewapandisha mtoke Misri ili niwe Mungu wenu. Kwa hiyo kuweni watakatifu kwa sababu Mimi ni mtakatifu.
Ruth 1:17Pale utakapofia nami nitafia hapo, na papo hapo nitazikwa. Bwana na aniadhibu vikali, kama kitu kingine chochote kitanitenga nawe isipokuwa kifo.”
Psalms 106:28Walijifunga nira na Baali wa Peori, 2 wakala dhabihu zilizotolewa kwa miungu isiyo na uhai. 1
Psalms 119:115Ondokeni kwangu, ninyi mtendao mabaya, 2 ili niweze kushika amri za Mungu wangu! 1
Ezekiel 4:13Bwana akasema, “Hivi ndivyo watu wa Israeli watakavyokula chakula kilicho najisi miongoni mwa mataifa ninakowapeleka.”
Hosea 9:3Hawataishi katika nchi ya Bwana, 2 Efraimu atarudi Misri 1 na atakula chakula 2 kilicho najisi huko Ashuru. 1