Hosea 9:3
Hawataishi katika nchi ya Bwana, 2 Efraimu atarudi Misri 1 na atakula chakula 2 kilicho najisi huko Ashuru. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Leviticus 18:28Kama mkiinajisi nchi, itawatapika kama ilivyowatapika mataifa yaliyowatangulia.
Leviticus 25:23“ ‘Kamwe ardhi isiuzwe kwa mkataba wa kudumu, kwa sababu nchi ni mali yangu, nanyi ni wageni na wapangaji wangu.
Deuteronomy 28:63Kama ilivyompendeza Bwana kuwafanya ninyi mstawi na kuongezeka kwa idadi, ndivyo itakavyompendeza kuwaharibu na kuwaangamiza ninyi. Mtangʼolewa kutoka nchi mnayoiingia kuimiliki.
Joshua 23:15Lakini kama vile kila ahadi njema ya Bwana Mungu wenu imekuwa kweli, vivyo hivyo Bwana ataleta maovu yote kama alivyo onya, mpaka awe amewaangamiza kutoka nchi hii nzuri aliyowapa.
2 Kings 17:6Katika mwaka wa tisa wa Hoshea, mfalme wa Ashuru akaiteka Samaria na kuwahamishia Waisraeli huko Ashuru. Akawaweka huko Hala, na Gozani karibu na Mto Habori, na katika miji ya Wamedi. 1 Israeli Inakwenda Uhamishoni Kwa Sababu Ya Dhambi
Jeremiah 2:7Niliwaleta katika nchi yenye wingi wa vitu 2 ili mpate kula matunda yake 2 na utajiri wa mazao yake. 1 Lakini mkaja na kuinajisi nchi yangu, 2 na kuufanya urithi wangu chukizo. 1