The Bible Software
bible.softwareDanielDaniel 10 › Daniel 10:2

Daniel 10:2

Wakati huo, mimi Danieli nikaomboleza kwa majuma matatu.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

In those days I Daniel was mourning three full weeks.

In Context

1Katika mwaka wa tatu wa utawala wa Koreshi mfalme wa Uajemi, Danieli (ambaye aliitwa Belteshaza) alipewa ufunuo. Ujumbe wake ulikuwa kweli, nao ulihusu vita vikubwa. Ufahamu wa ujumbe ulimjia katika maono.

3Sikula chakula kizuri; nyama wala divai havikugusa midomo yangu; nami sikujipaka mafuta kamwe mpaka majuma matatu yalipotimia.

Read all of Daniel 10

Cross References

Nehemiah 1:4Niliposikia mambo haya, niliketi, nikalia. Kwa siku kadhaa niliomboleza na kufunga na kuomba mbele za Mungu wa mbinguni.

Psalms 43:2Wewe ni Mungu ngome yangu. 2 Kwa nini umenikataa? 1 Kwa nini niendelee kuomboleza, 2 nikiwa nimeonewa na adui? 1

Isaiah 66:10“Shangilieni pamoja na Yerusalemu na mfurahi kwa ajili yake, 2 ninyi nyote mnaompenda, 1 shangilieni kwa nguvu pamoja naye, 2 ninyi nyote mnaoomboleza juu yake. 1

Daniel 9:24“Majuma sabini yameamriwa kwa ajili ya watu wako na kwa ajili ya mji wako mtakatifu, ili kumaliza makosa, kukomesha dhambi, kufanya upatanisho kwa ajili ya uovu, kuleta haki ya milele, kutia muhuri maono na unabii, na pia kumtia mafuta yeye aliye mtakatifu sana.

Romans 9:2Nina huzuni kuu na uchungu usiokoma moyoni mwangu.

Revelation 11:5Kama mtu yeyote akitaka kuwadhuru, moto hutoka vinywani mwao na kuwateketeza adui zao. Hivi ndivyo impasavyo kufa mtu yeyote atakayetaka kuwadhuru.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Daniel 10:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Daniel 10:1Daniel 10Daniel 10:3 →