The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 66 › Isaya 66:10

Isaya 66:10

“Shangilieni pamoja na Yerusalemu na mfurahi kwa ajili yake, 2 ninyi nyote mnaompenda, 1 shangilieni kwa nguvu pamoja naye, 2 ninyi nyote mnaoomboleza juu yake. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Rejoice ye with Jerusalem, and be glad with her, all ye that love her: rejoice for joy with her, all ye that mourn for her:

In Context

9Je, nilete mwana hadi wakati wa kuzaliwa 2 na nisizalishe?” asema Bwana. 1 “Je, nifunge tumbo la uzazi 2 wakati mimi ndiye nizalishaye?” 2 asema Mungu wako. 1

11Kwa kuwa mtanyonya na kutosheka 2 katika faraja ya matiti yake; 1 mtakunywa sana, 2 na kuufurahia wingi wa mafuriko ya ustawi wake.”

Read all of Isaya 66

Cross References

Deuteronomy 32:43Furahini, enyi mataifa, pamoja na watu wake, 2 kwa kuwa atailipiza damu ya watumishi wake, 1 atalipiza kisasi juu ya adui zake 2 na kufanya upatanisho 2 kwa ajili ya nchi na watu wake.

Psalms 84:1Ee Bwana Mwenye Nguvu Zote, 2 makao yako yapendeza kama nini! 1

Psalms 137:6Ulimi wangu ushikamane na kaakaa la kinywa changu 2 kama sitakukumbuka wewe, 1 kama nisipokufikiri Yerusalemu 2 kuwa furaha yangu kubwa. 1

Isaiah 61:2kutangaza mwaka wa Bwana uliokubaliwa, 2 na siku ya kisasi ya Mungu wetu, 1 kuwafariji wote waombolezao, 2

Ezekiel 9:4akamwambia, “Pita katika mji wote wa Yerusalemu ukaweke alama juu ya vipaji vya nyuso za wale watu wanaohuzunika na kuomboleza kwa sababu ya machukizo yote yanayotendeka katika mji huu.”

Romans 15:9pia ili watu wa Mataifa wamtukuze Mungu kwa rehema zake. Kama ilivyoandikwa: 1 “Kwa hiyo nitakutukuza katikati ya watu wa Mataifa; 2 nitaliimbia sifa jina lako.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 66:10

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 66:9Isaya 66Isaya 66:11 →