Daniel 11:36
“Mfalme atafanya apendavyo. Atajikweza na kujitukuza juu ya kila mungu, naye atasema mambo ambayo hayajasikiwa dhidi ya Mungu wa miungu. Atafanikiwa hadi wakati wa ghadhabu utimie, kwa maana kile kilichokusudiwa lazima kitokee.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 10:17Kwa kuwa Bwana Mungu wenu ni Mungu wa miungu na Bwana wa mabwana, Mungu mkuu, mwenye uweza na wa kutisha, ambaye hana upendeleo na hapokei rushwa.
Job 23:13“Lakini yeye husimama peke yake; ni nani awezaye kumpinga? 2 Yeye hufanya lolote atakalo. 1
Psalms 136:2Mshukuruni Mungu wa miungu. Fadhili zake zadumu milele. 1
Isaiah 10:5“Ole kwa Ashuru, fimbo ya hasira yangu, 2 ambaye mkononi mwake ana rungu ya ghadhabu yangu! 1
Isaiah 10:25Bado kitambo kidogo sana hasira yangu dhidi yenu itakoma, 2 na ghadhabu yangu itaelekezwa kwenye maangamizi yao.” 1
Isaiah 14:14Nitapaa juu kupita mawingu, 2 nitajifanya kama Yeye Aliye Juu Sana.” 1